Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IFAD yamwangaza mpishi kutoka Sri Lanka anayeandaa mlo kutoka kwa majani ya moringa

IFAD yamwangaza mpishi kutoka Sri Lanka anayeandaa mlo kutoka kwa majani ya moringa

Pakua

Mabadiliko ya tabianchi yanayoikumba dunia hivi sasa yamewafanya watu wengi kutafuta kila njia ya kuyakabili au kupata suluhu mbadala. Mojawapo ni kutumia mapishi ambapo mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo IFAD unasema yanaleta mapinduzi kwa jamii nyingi ikiwemo nchini Sri Lanka ambako majani ya mti wa Moringa unaohimili ukame imegeuka mboga maridadi nma yenye lishe bora. 

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
2'30"
Photo Credit
Photo: FAO