UNCTAD yasema uwekezaji wa teknolojia ya kidijitali ni muhimu katika kufanikisha SDGs
Pakua
Teknolojia ya kidijitali inatoa fursa za maendeleo ambazo ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa kuelekea ukomo wake mwaka 2030, lakini pia ina changamoto zake.
Audio Credit
UN News
Audio Duration
1'35"