Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP yaema kuna maeneo 15 yanayohitaji msaada wa dharura 2020

WFP yaema kuna maeneo 15 yanayohitaji msaada wa dharura 2020

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP leo limeainisha maeneo 15 ambayo yatahitaji msaada wa dharura na uwekezaji kwa mwaka huu wa 2020. 

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Sauti
2'41"
Photo Credit
WFP/Gabriela Vivacqua