Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

01 JANUARI 2020

01 JANUARI 2020

Pakua

Heri ya mwaka mpya msikilizaji wetu na katika Jarida letu maalum la sikukuu ya mwaka mpya 2020 hii leo Flora Nducha anakupeleka nchini Uganda kwenye kambi ya wakimbizi ya Kiangwali ambako mwandishi wetu nchini humo John Kibego anazungumza na wakimbizi mbalimbali kuangazia

-Mchango wa Umoja wa Mataifa kwa wakimbizi kwa mwaka 2019

-Je kwa mwaka mpya wa 2020 wakimbizi wanataka Umoja wa Mataifa uwafanyie nini

-Na mashinani hii leo utasikia ujumbe wa mkurugenzi mtendaji wa shiarika la mpango wa mazingira duniani UNEP Inger Anderson akitoa ushauri wa jinsi tunavyopaswa kuilinda dunia hii.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
10'43"