Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Salamu za mwaka mpya wa 2020 kutoka kama zilivyowasilishwa na Katibu Mkuu Antonio Guterres

Salamu za mwaka mpya wa 2020 kutoka kama zilivyowasilishwa na Katibu Mkuu Antonio Guterres

Pakua

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres leo ameungana na dunia kuukaribisha mwaka mpya wa 2020 akiisihi dunia kudumisha amani hasa muongo wa utimizaji wa malengo ya maendeleo endelevu au SDGs ukianza.

Audio Credit
Brenda Mbaitsa
Sauti
1'44"
Photo Credit
UN Photo/Cia Pak