WFP yasema Zimbabwe iko katika hatihati ya janga la njaa

WFP yasema Zimbabwe iko katika hatihati ya janga la njaa

Pakua

Zimbabwe iko katika hati hati ya janga la njaa limesema shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP likiongeza kuwa karibu watu milioni 8 sawa na nusu ya watu wote wa nchi hiyo hawana uhakika wa chakula. 

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration
1'52"
Photo Credit
WFP/Tatenda Macheka