Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yasema zaidi ya watoto 170,000 walishambuliwa tangu 2010 katika nchi zilizo na mizozo

UNICEF yasema zaidi ya watoto 170,000 walishambuliwa tangu 2010 katika nchi zilizo na mizozo

Pakua

Watoto wanazidi kubeba gharama na kukumbwa na madhila wakati mizozo ikiendelea kushuhudiwa duniani, kwa mujibu wa ripoti ya shirika la kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa , UNICEF iliyotolewa leo. 

Audio Credit
UN News/Anold Kayanda
Audio Duration
2'1"
Photo Credit
©UNICEF/Watad