Kiswahili kinalipa-mwanafunzi chuo kikuu cha Nairobi, Kenya
Pakua
Kiswahili kinazidi kutamba na kutambuliwa kama lugha muhimu hata katika mafunzo ya tafsiri na ukalimani hususan nchini Kenya, katika Makala ya wiki hii Grace Kaneiya wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa amevinjari katika chuo kikuu cha Nairobi kitengo cha tafsiri na ukalimani ambapo amezungumza na mhadhiri katika kitengo hicho vile vile wanafunzi. Kulikoni basi nakupeleka moja kwa moja hadi Nairobi, Kenya.
Audio Credit
Flora Nducha/ Grace Kaneiya
Sauti
5'53"