Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yasema watoto wanaendelea kubeba gharama za machafuko Syria

UNICEF yasema watoto wanaendelea kubeba gharama za machafuko Syria

Pakua

Watoto wanaendelea kubeba gharama kubwa za machafuko yanayoshika kasi Kaskazini Magharibi mwa Syria limesema leo shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.

Audio Credit
UN News/Jason Nyakundi
Audio Duration
1'57"
Photo Credit
©UNICEF/Watad