Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO yasema nchi tatu za Afrika zazuia milipuko ya ugonjwa wa polio

WHO yasema nchi tatu za Afrika zazuia milipuko ya ugonjwa wa polio

Pakua

Kenya, Musumbiji na Niger wamezuia milipuko ya ugonjwa wa polio ambayo ilishuhudiwa nyakati tofauti katika kipindi cha miezi 24 iliyopita na kuchangia nchi hizo kutangazwa kuwa zisizokuwa na ugonjwa wa polio kwa mujibu la tangazo la shirika la afya duniani WHO lililotolewa leo.

Audio Credit
UN News/Jason Nyakundi
Audio Duration
2'
Photo Credit
UN