Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO yasema visa vya kipindupindu vimepungua kwa asilimia 60 duniani.

WHO yasema visa vya kipindupindu vimepungua kwa asilimia 60 duniani.

Pakua

Shirika la afya ulimwenguni leo limetangaza habari njema ya kupungua kwa visa vya kipindupindu duniani kote kwa asilimia 60 mwaka 2018. 

Audio Credit
UN News/Brenda Mbaitsa
Sauti
1'37"
Photo Credit
UN