Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO yasema idadi ya wanaume wanaotumia bidhaa za tumbaku imepungua.

WHO yasema idadi ya wanaume wanaotumia bidhaa za tumbaku imepungua.

Pakua

Shirika la afya ulimwenguni, WHO linakadiria kwa mara ya kwanza kwamba idadi ya wanaume wanaotumia tumbaku imepungua ikiashiria mabadliko katika janga la tumbaku kimataifa. 

Audio Credit
UN News/John KIbego
Audio Duration
2'2"
Photo Credit
UN News/Yasmina Guerda