19 DESEMBA 2019

19 Disemba 2019

Katika jarida la habari la Umoja wa Mataifa hii leo Arnold Kayanda anakuletea

- Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema idadi ya wanaume wanaotumia bidhaa za tumbaku duniani imepungua kwa mujibu wa utafiri walioufanya

-Kampeni za chanjo na udhibiti wa milipuko ya kipindupindu vimesaidia kupunguza visa vya ugonjwa huo kwa asilimia 60 mwaka 2018 imesema ripoti mpya ya WHO iliyotolewa leo

-Mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS unawasaidia maelfu ya watoto kuhakikisha wanafanya mitihani yao kwa amani na usalama  nchini humo.

-Makala yetu leo inatathimini kutoafikiana kuhusu ibara ya sita kwenye mkutano wa mabadiliko ya tabianchi  COP25 kuna maanisha nini kwa nchi zinazoendelea likiwemo bara la Afrika?

-Na mashinani tuko Nepal utamsikia kijana mlemavu msanii wa uchoraji alivyofaidika na mradi wa UNICEF

 

 

Audio Credit:
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration:
12'6"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud