17 DESEMBA 2019

17 Disemba 2019

Katika Jarida la Habari za Umopja wa Mataifa hii leo Anold Kayanda anakuletea

-Umoja wa Mataifa wasema kuwakirimu wakimbizi sio lazima uwe tajiri ni moyo wa kusaidia ukiisa jumuiya ya kimataifa kuongeza juhudi za kuwasaidia watu zaidi ya milioni 70 waliolazimika kukimbia makwao.

-Nchini Afghanistan shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF lasema kila siku watoto 9 hufa au kujeruhiwa 

- Mtengeneza muziki mmarekani aahamishia studio yao Beirut kuwarekodi wakimbizi wa Syria

-Makala yetu inamulika ukatili wa kijinsia lkatika kambi ya wakimbizi ya Kingwali nchini Uganda na jinsi ya kukabiliana nao

-Mashinani utamsikia Kamishina Mkuu wa wakimbizi Filippo Grandi akihimiza umuhimu wa kuwasaidia wakimbizi

Audio Credit:
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration:
11'39"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud