16 DESEMBA 2019

16 Disemba 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Arnold Kayanda anakuletea

- Ufisadi au rushwa imeelezwa katika mkutano wa kimataifa ulioanza leo huko Abu Dhabi  kuwa sio tu ni adui wa haki bali adui wa maendeleo na lazima ikomeshwe .

-Utipwatipwa na lishe duni  ni matatizo mawili ya utapiamlo yanayobebesha nmzigo mkubwa nchi nyingi zinazoendelea imesema leo ripoti ya shirika la afya duniani WHO.

-Mkutano wa kimataifa kujadili jinsi ya kushughulikia tatizo la wakimbizi duniani umeanza leo mjini Geneva Uswis

-Makala yetu inamulika uhifadhi wa mazingitra na kujiongezea kipato unaotokana na ukusunyaji wa chupa jijini Nairobi Kenya

-Na katika mashinani utamsikia manusura wa ukatili wa kijinsia akizungumzia msaada wa manusura

Audio Credit:
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration:
10'52"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud