Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nchini Ujerumani kampuni ya Volkswagen yaonyesha kwa vitendo maana ya utangamano

Nchini Ujerumani kampuni ya Volkswagen yaonyesha kwa vitendo maana ya utangamano

Pakua

Nchini Ujerumani mafunzo mahsusi yanayotolewa na kampuni za kijerumani kwa wakimbizi yameleta siyo tu matumaini kwa wakimbizi bali pia kusaidia kujenga utangamano na jamii zinazowazunguka.

Audio Credit
UN News/Anold Kayanda
Sauti
2'24"
Photo Credit
UNICEF/Ashley Gilbertson VII