13 Desemba 2019

13 Disemba 2019

Hii leo Ijumaa mada kwa kina inapiga kambi huko Geita nchini Tanzania ambako Adelina Ukugani anazungumza na wakili Walta Carlos kuhusu ukatili wa kijinsia. Neno la wiki ni Matumbawe fahamu linatokana na nini lakini kumbuka muhtasari wa habari ni kutoka DRC ambako wagonjwa wapya wa Ebola 27 wathibitishwa na kasi ni kubwa ya maambukizi na sababu ni ukosefu wa usalama. Halikadhalika nchini India ambako sheria mpya pendekezwa yashukiwa kubagua baadhi ya madhehebu. Mwenyeji wako leo ni Assumpta Massoi.

Audio Credit:
Assumpta Massoi
Audio Duration:
9'53"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud