Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watu millioni 5.5 kukabiliwa na njaa nchini Sudan Kusini mwaka 2020

Watu millioni 5.5 kukabiliwa na njaa nchini Sudan Kusini mwaka 2020

Pakua

Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP limesema linakimbizana na muda ili kukusanya fedha zinazohitajika kuwalisha mamilioni ya watu Sudan Kusini wakati huu njaa ikishika kasi na watu wanaohitaji haraka msaada wa kibinadamu.

Audio Credit
UN News/Anold Kayanda
Audio Duration
1'27"
Photo Credit
OCHA/Yaye N. Sene.