12 Desemba 2019

12 Disemba 2019

Hii leo siku ya huduma ya afya kwa wote Umoja wa Mataifa wataka serikali zitimize ahadi ya kuwapatia wananchi wao huduma za afya, huko Uganda wananchi wahoji kulikoni viongozi wakiugua wao waende kutibiwa nje, sisi je? Kisha Sudan Kusini baa la njaa lanyemelea mwaka 2020 na huko Pakistani, mkimbizi avunja mwiko na sasa anatibu wagonjwa,  makala tupo Korogwe mkoani Tanga nchini Tanzania na  mashinani tunakwenda  Jamhuri ya Afrika yaKati, Karibu na mwenyeji wako ni Assumpta Massoi.

Audio Credit:
Assumpta Massoi
Audio Duration:
11'21"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud