Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nchini DRC, wanawake wapagazi Bukavu washukuru MONUSCO

Nchini DRC, wanawake wapagazi Bukavu washukuru MONUSCO

Pakua

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC mradi wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo MONUSCO wa kuelimisha jamii kuhusu ulinzi wa mtoto na ukatili wa kingono umesaidia kuongeza uelewa wa jamii kuhusu madhara ya vitendo hivyo. Anold Kayanda na maelezo zaidi.

Audio Duration
1'33"
Photo Credit
MONUSCO