Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Brazil yapewa heko na UNHCR kwa kuridhia ombi la ukimbizi la wavenezuela

Brazil yapewa heko na UNHCR kwa kuridhia ombi la ukimbizi la wavenezuela

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limekaribisha  uamuzi wa Brazil wa kutambua maelfu ya wasaka hifadhi kutoka Venezuela kama wakimbizi, hali inayoashiria kuwa wanaweza kukubaliwa maombi yao ya ukimbizi nchini humo. 

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
2'19"
Photo Credit
© UNHCR/Santiago Escobar-Jarami