Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tumerejea nyumbani, serikali ya CAR sasa itutunze- Raia wa CAR

Tumerejea nyumbani, serikali ya CAR sasa itutunze- Raia wa CAR

Pakua

Kundi la nne la wakimbizi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR waliokuwa wamekimbilia nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, limerejea nyumbani na kulakiwa na Kamishna Mkuu wa wakimbizi duniani, Filippo Grandi, huku wakiwa na matumaini ya maisha mapya. Anold Kayanda na maelezo zaidi.

Audio Credit
Flora Nducha/Anold Kayanda
Audio Duration
2'24"
Photo Credit
UN Photo/Eskinder Debebe)