Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mahitaji ya watoto duniani hasa walio kwenye mizozo yaongezeka, UNICEF nayo yahitaji dola bilioni 4.2

Mahitaji ya watoto duniani hasa walio kwenye mizozo yaongezeka, UNICEF nayo yahitaji dola bilioni 4.2

Pakua

Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limetoa ombi lake la dharura la dola bilioni 4.2 kuwasaidia watoto milioni 59 na msaada wa kuokoa katika nchi 64 kote duniani. Ndilo ombi kubwa zaidi likiwa mara tatu zaidi ya lile lilotolewa mwaka 2010.

Audio Credit
Flora Nducha/Jason Nyakundi
Audio Duration
1'47"
Photo Credit
UN