Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP yataka fedha zaidi kunusuru wanaokabiliwa na njaa Zimbabwe

WFP yataka fedha zaidi kunusuru wanaokabiliwa na njaa Zimbabwe

Pakua

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP, linaongeza kwa haraka operesheni za dharura nchini Zimbabwe ambako kiangazi, mafuriko na hali ngumu ya uchumi vimesababisha watu milioni 7.7 kujikuta katika hali mbaya ya njaa.  Anold Kayanda na maelezo zaidi.

Audio Credit
Flora Nducha/Anold Kayanda
Audio Duration
1'38"
Photo Credit
WFP/Tatenda Macheka