Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi na wenyeji DRC watangamana vyema kupitia shughuli za kilimo

Wakimbizi na wenyeji DRC watangamana vyema kupitia shughuli za kilimo

Pakua

Mradi wa pamoja wa kilimo ulioanzishwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, umekuwa nuru inayowaangazia wageni ambao ni wakimbizi na jamii za wenyeji kwa kuwafanya wote kuweza kujitegemea mfano Neema Amayo mkimbizi kutoka Sudan Kusini aliyewasili Kaskazini mwa DRC na watoto watano bila chochote.  Priscilla Lecomte na ripoti kamili.

Audio Credit
Flora Nducha/Priscilla Lecomte
Sauti
1'51"
Photo Credit
WFP/Jacques David