UN yasema jamii ina mchango mkubwa katika vita dhidi ya UKIMWI
Pakua
Umoja wa Mataifa umesema jamii ikiwa ni pamoja na mashirika yasiyo ya kiserikali, asasi za kiraia na wanaharakati wana mchango mkubwa katika vita dhidi ya UKIMWI.
Audio Credit
Jason Nyakundi
Audio Duration
2'23"