Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ghasia Beni zasababisha WFP kusitisha kwa muda mgao wa msaada

Ghasia Beni zasababisha WFP kusitisha kwa muda mgao wa msaada

Pakua

Shirika la mpango wa chakula duniani, WFP limesitisha kwa muda usambazaji wa misaada ya kibinadamu huko Beni, jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kutokana na mashambulizi yaliyoripotiwa kwenye maeneo yenye mlipuko wa Ebola

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
1'38"
Photo Credit
© UNHCR/Natalia Micevic