Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ushika wa AU na FAo utamkomboa mwanamke wa Afrika:Sacko

Ushika wa AU na FAo utamkomboa mwanamke wa Afrika:Sacko

Pakua

Muungano wa Afrika AU na shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO wamesema wanaimarisha ushirikiano wao ili kuhakikisha uchumi wa kilimo barani Afrika unaleta tija kwa mamilioni ya watu wa bara hilo.

Audio Credit
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration
1'45"
Photo Credit
©FAO/Olivier Asselin