Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

27 NOVEMBA 2019

27 NOVEMBA 2019

Pakua

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Arnold Kayanda anakuletea

-Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEf lataka mkazo uweke katika kukabiliana na ugonjwa wa surua nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, likisema ugonjwa huo unakatili maisha ya watoto wengi kuliko ebola

-Balozi mwema wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, Ishamael Beah ametaka hatua zaidi zichukuliwe ili kulinda uhai wa watoto hususan wale wanaozaliwa njiti.

-Katika visiwa vya Pasifiki shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masula ya wanawake UN women limezundua mradi wa kuwasaidia wanawake wachuuzi wa sokokoni kujikimu kimaisha wao , familia zao na jamii ujulikanao kama M4C.

-Makala yetu leo tutaelekea nchini Tanzania kumuangazia msichana Jonitha Nitoya Joram ambaye ameamua kuupinga kwa vitendo msemo wa kuwa adui wa mwanamke ni mwanamke.

- Na mashinani tunabisha hodi Italia tutaangazia haki za vijana wahamiaji na wakimbizi nchini humo

Audio Credit
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration
11'2"