Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ripoti ya UNICEF yanonesha watoto na barubari zaidi ya 300 hufa kila siku kutokana na UKIMWI

Ripoti ya UNICEF yanonesha watoto na barubari zaidi ya 300 hufa kila siku kutokana na UKIMWI

Pakua

Watoto na barubaru zaidi ya 300 hufariki dunia kila siku , sawa na 13 kila saa kwa sababu zinazohusiana na masuala ya ukimwi, na nusu tu ndio wanaopata matibabu ya kupunguza makali ya ukimwi, imesema ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF.

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
2'40"
Photo Credit
UNICEF/Frank Dejongh