Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kundi la tatu la wakimbizi wanaoondolewa Libya lawasili Rwanda

Kundi la tatu la wakimbizi wanaoondolewa Libya lawasili Rwanda

Pakua

Kundi la tatu la wakimbizi zaidi ya 100 wakiwemo watoto wachanga waliozaliwa kwenye vituo vya kushikilia wakimbizi na wahamiaji nchini Libya limewasili Rwanda kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.

Audio Duration
1'48"
Photo Credit
©UNHCR/Eugene Sibomana