Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wataalam wasema ukosefu wa ridhaa kwenye tendo la ndoa ni ubakaji

Wataalam wasema ukosefu wa ridhaa kwenye tendo la ndoa ni ubakaji

Pakua

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake, wataalamu wa Umoja wa Mataifa na wale kikanda wamesema ukosefu wa ridhaa katika tendo la ndoa ni lazima iwe ainisho la kitendo cha ubakaji duniani.

Audio Credit
Brenda Mbaitsa
Sauti
1'29"
Photo Credit
Photo: UNAMID/Albert González Farran