Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNMISS yasema; hatutochoka hadi mabomu yote ya kutegwa ardhini yateguliwe Sudan Kusini

UNMISS yasema; hatutochoka hadi mabomu yote ya kutegwa ardhini yateguliwe Sudan Kusini

Pakua

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya huduma za kutegua mabomu ya kutengwa ardhini UNMAS, mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan kusini UNMISS na serikali ya Japani wamesema hawatopumzika hadi pale mabomu yote ya kutengwa ardhini nchini sudan kusini  yatakapoteguliwa. 

Audio Duration
2'11"
Photo Credit
UNMISS\Nektarios Markogiannis