Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Baada ya miaka 30 ya CRC kila mtoto anapaswa kupata haki:Guterres

Baada ya miaka 30 ya CRC kila mtoto anapaswa kupata haki:Guterres

Pakua

Leo ni siku ya mtoto duniani ambapo Umoja wa Mataifa umetaka hatua zichukuliwe kila pahali ulimwenguni ili kila mtoto popote pale alipo aweze kupata haki zake za msingi za kuishi, kuendelezwa, kushiriki na kulindwa.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
1'54"
Photo Credit
UNICEF/UN0248272/Clarke