Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kikundi cha wanawake wajane CAR chawa mkombozi wa wengi

Kikundi cha wanawake wajane CAR chawa mkombozi wa wengi

Pakua

Pamoja na kukabiliwa na ubaguzi na unyanyasaji wa kingono, wanawake nchini Jamhuri ya Afrika ya kati, CAR, wamechukua hatua ya kuwapatia matumaini wenzao wanaorejea katika makazi yao walimofurushwa kutoka na mapigano katika jamii zao. 

Audio Credit
UN News/Jason Nyakundi
Audio Duration
1'52"
Photo Credit
OCHA/Gemma Cortes