20 NOVEMBA 2019

20 Novemba 2019

Katika Jarida la Habari hii leo kutoka Umoja wa Mataifa Arnold Kayanda anakuletea

-Leo ni siku ya watoto duniani ambayo pia miaka 30 iliyopita mkataba kuhusu haki za mtoto CRC ulipitishwa mambo yamefika wapi?

-Tunaelekea sehemu mbalimbali mashinani nchini Tanzania kusikia wazazi na watoto wanasemaje kuhusu mkataba wa haki za mtoto? Je watoto wanaelewa haki zao?

-Nchini Jamhururi ya Afrika ya Kati CAR wanawake wajane waanzisha kikundi cha kuwasaidia wenzao walioathirika na mapigano 

-Makala yetu leo inatupeleka mkoani Morogoro ambako utasikia mjada na watoto wa shule mbalimbali za msingi kuhusu siku ya mtoto na mkataba wa haki za mtoto CRC

-Na mashinani utasikia maoni ya wazazi kuhusu haki za mtoto

Audio Credit:
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration:
10'55"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud