Nchi maskini zaidi elekezeni fedha za misaada kwenye mipango ya maendeleo- UN
Pakua
Umoja wa Mataifa umesema kuwa mataifa maskini zaidi duniani yanapaswa kuhakikisha kuwa fedha za misaada kutoka nje zinaelekezwa katika vipaumbele vya kitaifa vya maendeleo.
Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
2'1"