Zaidi ya watu milioni 2.4 wanahitaji msaada wa chakula ukanda wa Sahel ya Kati 19 Novemba 2019 Habari kwa Ujumla Pakua Shirika la mpango wa chakula duniani, WFP leo limeonya kwamba dunia bado haijaelewa upana wa janga la kibinadamu linaloshuhidiwa ukanda wa Sahel ya kati ikijumuisha Burkina Faso, Mali na Niger. Audio Credit Brenda Mbaitsa Audio Duration 2'27" Photo Credit WFP/Sébastien Rieussec WFP Burkina Faso Mali niger