Malengo ya afya Afrika kupigwa jeki na ubia mpya baina ya WHO na AU 18 Novemba 2019 Habari kwa Ujumla Pakua Shirika la afya ulimwenguni, WHO na muungano wa Afrika, AU wametia saini mkataba wa makubaliano ya dhamira yao ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano katika kutimiza malengo muhimu ya afya. Audio Credit UN News/Assumpta Massoi Sauti 1'38" Photo Credit WHO CE.Onuekwe afya kwa wote Dkt. Tedros Adhamon Ghebreyesus Moussa Faki Mahamat AU Ebola WHO