Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi wa ndani waanza kurejea Yambia Sudan Kusini baada ya kuambiwa kuna amani

Wakimbizi wa ndani waanza kurejea Yambia Sudan Kusini baada ya kuambiwa kuna amani

Pakua

Hali ya utulivu imerejea kwa kiasi fulani kufuatia mashambulizi katika kijiji cha Rimenze ambako watu wanne walitekwa huku maelfu wakikimbia kwenda kujificha vichakani baada ya watu waisojulikana kushambulia kanisa lililoko vitongoji vya mji wa Yambio kusini magharibi mwa Sudan Kusini.

Audio Credit
UN News/John Kibego
Audio Duration
2'26"
Photo Credit
UN /Nektarios Markogiannis