Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ingawa mkataba wa CRC umefanikiwa kiasi fulani watoto masikini wanasalia nyuma:UNICEF

Ingawa mkataba wa CRC umefanikiwa kiasi fulani watoto masikini wanasalia nyuma:UNICEF

Pakua

Katika kuelekea siku ya kimataifa ya haki za mtoto hapo Novemba 20, ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF inasema kuna mafanikio ya kihistoria yaliyopatikana kwa miaka 30 lakini bado kuna changamoto kwa watoto masikini duniani

Audio Credit
UN News/Jason Nyakundi
Audio Duration
2'36"
Photo Credit
UN Photo/Isaac Gideon