18 NOVEMBA 2019

18 Novemba 2019

Miongoni mwa Habari anazokuletea Flora Nducha katika Jarida la Habari hii leo

-Miaka 30 ya mkataba wa Haki za mtoto duniani CRC, kuna mafanikio kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF  lakini pia changamoto zinaendelea kwa watoto masikini

-Muungano wa Afrika AU na shirika la afya duniani WHO waanzisha ubia mpya ili kushirilkiana katika kutimiza malengo ya afya 

-Wakimbizi Sudan Kusini wasema wameambiwa amani imerejea Yambio sasa wanaanza kurejea nyumbani je nini wanakikuta huko?

-Makala yetu inaangazia hali ya kukabiliana na jangwa kutokana na mabadiliko ya tabianchi kwa wakulima huko China

-Na mashinani tuanganzia mafunzo Afrika ya mashariki ya jinsi ya kupambana na milipuko ya magonjwa mipakani.

Audio Credit:
UN News/ Flora Nducha
Audio Duration:
11'18"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud