Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mradi wa UN-Habitat na mamlaka Kenya walenga kuimarisha usafiri kwa ajili ya watu wanoishi na ulemavu

Mradi wa UN-Habitat na mamlaka Kenya walenga kuimarisha usafiri kwa ajili ya watu wanoishi na ulemavu

Pakua

Shirika la makazi la Umoja wa Mataifa, UN-Habitat kwa ushirikiano na taasisi za usafiri na utungaji sera na kamisheni ya kitaifa ya usawa wa kijinsia nchini Kenya wanashirikiana katika kukarabati mfumo wa usafiri jumuishi ambao utawezesha huduma za usafiri kwa watu ambao wanaishi na ulemavu. 

Audio Credit
Flora Nducha/ John Kibego
Audio Duration
2'16"
Photo Credit
UN-Habitat/Julius Mwelu