Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake wapata fursa za uongozi nchini Sudan Kusini

Wanawake wapata fursa za uongozi nchini Sudan Kusini

Pakua

Jamii ya Rumbek nchini Sudan kusini imepitia changamoto nyingi tangu kuzuka kwa machafuko lakini sasa mambo yanaanza kubadili kuanzia nyumbani, katika meza ya maamuzi na hata katika mchakato wa kuleta amani.

Audio Credit
Flora Nducha/ Jason Nyakundi
Audio Duration
2'10"
Photo Credit
UN/Eskinder Debebe