Hii leo ni mada kwa kina tukibisha hodi Bukoba mkoani Kagera nchini Tanzania ambako Nicolaus Ngaiza wa radio washirika Kasibante FM amezungumza na mgonjwa wa kisukari akielezea madhila anayopitia kisha neno la wiki RIKISHA. Hata hivyo kuna muhtasari wa habari kuhusu Mynamar kubisha hodi ICC na ICJ, huduma za afya Yemen na visa vya ebola huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!