Skip to main content

Kasi ya kiwango cha uzalishaji haiendani na uzalishaji Afrika Mashariki

Kasi ya kiwango cha uzalishaji haiendani na uzalishaji Afrika Mashariki

Pakua

Ajira milioni 8 zinahitajika kila mwaka katika ukanda wa Afrika Mashariki, ukanda ambao unaelezwa kuwa kasi ya ukuaji wa uchumi ni kubwa mno kuliko kanda nyingine barani Afrika.

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Prisiclla Lecomte/ Vincent Lenyaro
Audio Duration
4'22"
Photo Credit
© UN-Habitat /Julius Mwelu