Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wahamiaji na wakimbizi watoto elfu 60 waliowasili Italia wanakosa msaada muhimu

Wahamiaji na wakimbizi watoto elfu 60 waliowasili Italia wanakosa msaada muhimu

Pakua

Takribani wakimbizi na wahamiaji watoto 60,000 waliowasili  nchini Italia bila wazazi ama walezi kati yam waka 2014 na 2018 ambao sasa wametimiza umri wa miaka 18 wanahitaji msaada endelevu ili waweze kumudu kipindi cha mpito cha kuwa watu wazima.

Audio Credit
Assumpta Massoi/Grace Kaneiya
Audio Duration
2'37"
Photo Credit
© UNICEF/Franco Pagetti