04 NOVEMBA 2019

4 Novemba 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Assumpta Massoi anakuletea 

-UN na wadau walaani shambulio Ituri lililosababisha kifo cha mhudumu wa kijamii aliyekuwa anashughulika na masuala ya Ebola

-Dhamira yetu kubwa kama chama cha wandishi wa habari wanawake, TAMWA visiwani Zanzibar nchini Tanzania ni kuwatetea wanawake na watoto kwa kupaza sauti zao kupitia vyombo vya habari amesema Mkurugenzi wa TAMWA Zanzina Dkt. Mzuri Issa

-Makala yetu inatupeleka Kenya kwa Wanjuhi Njoroge  akizungumza na Assumpta Massoi kuhusu kile kilichomchochea kujikita zaidi kwenye mazingira.

-Mashinani leo Bi. Amina Karuma Mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu wa wanawake Tanzania anatupa ujumbe kuhusu mpira huo wa wanawake.

Audio Credit:
UN News/Assumpta Massoi
Audio Duration:
11'38"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud