31 OKTOBA 2019

31 Oktoba 2019

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Arnold Kayanda anakuletea

-Leo ni siku ya miji duniani Umoja wa Mataifa unatoa wito wa ubunifu kuhakikia miji yenye mnepo na kuviachia vizazi vijavyo dunia bora

-Shirika la afya ulimwengini WHO leo limetoa mwongozo kwa dunia wa kudhibiti magonjwa yasiyo ya kuambukiza mijini

-Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO na shirika la mpango wa chakula duniani WFP Janga la njaa linanyemelea wakazi milioni 45 katika ukanda wa SADC

-Makala yetu leo inatupeleka Thika Kenya kumulika wakulima na changamoto za kuhifadhi chakula

-Na leo mashinani tutakuwa nchini Tanzania kusikia harakati za kukabiliana na majanga kama vile mafuriko mijini

Audio Credit:
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration:
11'4"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud