Mcheza kwao hutuzwa, mtu wa mwaka UN Kenya ni mwalimu Tabichi
Pakua
Mwalimu Peter Tabichi ambaye amepata umaarufu mkubwa baada ya kutunukiwa tuzo ya mwalimu bora duniani mwaka 2019 , sasa ameibuka kidedea tena na kuwa mshindi wa tuzo ya mtu bora kwa Umoja wa Mataifa nchini Kenya mwaka huu. Tuzo ambayo hutolewa nchini humo kwa mtu ambaye ameleta mabadiliko chanya katika jamii yake.
Audio Credit
Grace Kaneiya/ Peter Tabichi
Audio Duration
3'12"